Asante mkuu. Huwa nawaonea huruma sana wanapojitetea. Mara mimi nakunywa kwa mahesabu, mara ninaweza kuendesha gari nikiwa bwii. Yaani wanatumia nguvu kubwa sana.Hawatakuelewa, kubali kataa POMBE HAINA MWALIMU na kamwe pombe siyo Chai acha kujivunjia heshima
Kila mtu asimamie anachokiamini tusofokeane bhana aaaarghUlimbukeni na kuiga ni kubaya sana. Dogo tumemuajiri katoka chuo akiwa safi. Kufika ofisini anaanza kufuata mkumbo wa walevi utadhani mtoto wa form I au form II.
Vijana muwe makini na future zenu, familia zinawategemea.
Ninaongea kwa uchungu kama kaka yenu ninayewapenda, SIO KWAMBA NAWAONEA WIVU.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Ha ha ha huo ni ushauri tu. Lazima tukumbushane.Fanya yanayokuhusu..hujui pombe ndo imeifikisha nchi kwenye uchumi wa kati
Kwenye Conclusion sijakuelewa.Mlevi ni mlevi tu hata kama unakunywa bia mbili kwa siku bado hiyo ni pombe.
Kuna jamaa tunafanya naye kazi anatumia nguvu kubwa kujitetea kuhusu ulevi wake baada ya heshima yake kushuka. Hadi namuonea huruma.
Kuna baadhi ya ofisi huwezi kuaminika au kuheshimika kama unatumia kilevi.
Vijana tuwe makini na pombe, usifanye vitu kwa kufuata mkumbo ili uonekane na wewe wa kisasa.
Pombe itakuharibia kazi, heshima yako, ndoa yako na uhusiano wako na jamii.
Nimefaya uchunguzi binafsi kwenye taasisi tofauti, watu wasiokunywa pombe wanaaminiwa na kuheshimika kuliko wasiotumia kilevi.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Aisee.... wasio walevi hawagongewi..Asante mkuu. Huwa nawaonea huruma sana wanapojitetea. Mara mimi nakunywa kwa mahesabu, mara ninaweza kuendesha gari nikiwa bwii. Yaani wanatumia nguvu kubwa sana.
Wewe uko Bar mkeo analiwa kimasihara na wahuni huko mtaani.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Utadhani anatununulia yeye..!!!Acha kutufokea mkuu.. Fainali uzeeni we endelea kunywa soda
Asante mkuu. Huwa nawaonea huruma sana wanapojitetea. Mara mimi nakunywa kwa mahesabu, mara ninaweza kuendesha gari nikiwa bwii. Yaani wanatumia nguvu kubwa sana.
Wewe uko Bar mkeo analiwa kimasihara na wahuni huko mtaani.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23]Kusingekuwa na pombe na ngono mtu mzima angekuwa na tofauti gani na mtoto??
Tofauti ni mtu mzima hawezi kufanya mambo anayofanya mtoto...Kusingekuwa na pombe na ngono mtu mzima angekuwa na tofauti gani na mtoto??
Mkuu hapa unajibizana na wapumbavuKwahyo msiouknywa hamkaziwi hao wake zenu au?..mwe...