walevi wa3 walikodi bajaji ,dereva alipoona wamelewa sana aliwasha bajaji alafu akaizima.mlevi wa kwanza alisema asante kwa kutufikisha,wapili alimpa hela ,watatu alimpiga kofi dereva akamwambia "siku nyingine usiendeshe kwa kasi!!" so nani aliyekuwa amelewa sana hopo?