Walevi na Kioo

Walevi na Kioo

Code Breaker

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
1,019
Reaction score
446
Walevi wawili wametoka kilabuni wakiwa chakari mida ya jioni.

Mlevi wa kwanza, akaokota kioo akasema halafu huyu jamaa kama namfahamu vile, sijui nimemuona wapi!

Mlevi wa pili akamwambia hebu nimuone akaangalia kwenye kioo akasema " Mhh, huyu si Mimi, unajifanya umenisahau"
 
haahaaaaaa. safi sana. Kuna walevi wengine walikutana barabarani, kila mmoja na chupa yake. Mmoja akauliza: "ninijiona kwenye kioo au?" yule mlevi mwingine akajibu: "hata mimi nashangaa kioo kinaongea"
 
Mnanikumbusha ile stori, trafiki mmoja alikuwa kazini huku kalewa, basi akasimamisha gari, akamwambia dereva "naomba leseni yako"yule dereva akampa kioo kidogo cha kujiangalia, yule trafiki akaangalia!

Kisha akamwambia dereva"pumbafu! Si ungeniambia kuwa we ni trafiki mwenzangu, haya nenda.
 
Back
Top Bottom