blackstone
Senior Member
- Aug 11, 2015
- 147
- 128
Umeshatoka Kigoma?
Happy New Year Kasie.
Happy New Year to you too.
Kigoma ndo mwisho wa reli nimetua moyo bin kuumwaga.
Ha ha ha, nyumbani huko ujue!
Usijali ni nyumbani kwa wote wengine ndugu zetu wanatoka upande wa pili wa ziwa Tanganyika.
Basi sawa, wasalimie huko. Usisahau kuja na dagaa!
Hehehehee unamsalimia mwanaume mwenzako?
Upande niliopo hakuna dagaa ni samaki tuu.
Basi uje na migebuka mikavu.
Sasa ukisema nije inamaana unataka niondoke Kigoma wakati mie ndo nimefika mwisho wa reli?
Huku sitoki ng'oo. Hiyo migebuka ifate sokoni tuu wala siahidi kukuketea
Ha ha ha, wewe usirudi!
Muda si muda ntakusikia kwenye crush za Al Hassan Mwinyi Road!
Najua ziara ni ya muda tu.
Chanzo swaaafi cha protini.