Invisible
3rd May 2009 13:22
#204
Robot
Array
Join Date : 11th February 2006
Location : Here...!
Posts : 9,195
Rep Power : 100000
Likes Received4343
Likes Given4363
Anasema Mengi akidaiwa anadai kampuni zimekufa au kampuni hazipo tena.
Anaanza kuonekana kukosa cha kuongea.... Kakaa kimya kwa muda na anaanza kuperuzi makaratasi...
Anasema Mengi badala ya kurudisha pesa alishirikiana na maafisa wa hazina kufoji nyaraka kuonesha kuwa alishalipa fedha hizo. Anaomba ufanyike uchunguzi huru kubaini hilo.
Anasema Mengi kwa kutumia nafasi yake pale NICO, alikiuka maadili kwa kununua hisa kwenye kiwanda cha Moshi ambacho alijua kina hali mbaya.
Anasema aliteketeza Bil 2.5 hela za watanzania masikini kwa kuwekeza kwenye kiwanda cha Moshi ambacho kwa sasa kimefilisika.
Invisible
3rd May 2009 13:23
#206
Robot
Array
Join Date : 11th February 2006
Location : Here...!
Posts : 9,195
Rep Power : 100000
Likes Received4343
Likes Given4363
Anasema aliingia kwenye ubia na serikali katika umiliki wa TANPACK na akakopa hela kukiingiza kiwanda kwenye mikopo na baadae akaigeuzia kibao serikali ndiyo ilipe deni.
Invisible
3rd May 2009 13:30
#218
Robot
Array
Join Date : 11th February 2006
Location : Here...!
Posts : 9,195
Rep Power : 100000
Likes Received4343
Likes Given4363
Bado anaongelea issue ya Mengi kukwepa kodi na mtindo wa kuwapa hela walemavu wachache na kuwatumia wao kama ngao.