Walemavu.. Mnyonge mnyongeni.. Mengi apewe haki zake..

sosoliso

Platinum Member
Joined
May 6, 2009
Posts
8,543
Reaction score
9,478
Naangalia hapa ITV kipindi maalum cha chakula cha mchana ambacho IPP Chairman Mr. Mengi amewaandalia walemavu hivi karibuni.. Naona jinsi walemavu wanavyofurahi kwa kula na kucheza.. Mr. Mengi anastahili pongezi kwa hili.. Huu ni mwaka wa 19 mfufulizo kuwaandalia walemavu chakula cha mchana..

Wengine wanarudishaje kwa wananchi..?
 
Ila sio lazima awanange kwenye tv yake kwa kuwawekea kipindi kana wakirukaruka.. Ni kama kuwadhalilisha fulani
 
mzee mengi napenda kukushauri ujaribu kuangalia mikoani ni jinsi gani unaweza kuwafanyia sherehe walemavu wa mikoa hiyo tofauti na dar es salaam kwa sababu nimejarib kuzungumza na walemavu wa hapa arusha wanatamani sana siku moja uje arusha au mkoa wowote ili uweze fanya sherehe kama ambayo unaifanya dar es salaam hakika utabarikiwa sana
 
Ila sio lazima awanange kwenye tv yake kwa kuwawekea kipindi kana wakirukaruka.. Ni kama kuwadhalilisha fulani

Wewe unaona hivyo Mkuu.. Mie nimeona kitu kingine.. Nimeona furaha ikitawala nyuso za walemavu.. Kwangu mie sio kuwananga.. Bali kutuonyesha watanzania jinc gani tunavyoweza kujitolea na kusaidiana put politics aside..
 
Ukitaka kumsaidia mtu sio hadi umkatishe viuno hadharani, vitabu vya dini vinatuambia kwamba toa sadaka kwa mkono wakulia huku wakushoto usifahamu! Ule ni udhalilishaji tu!
 
Mkuu sio sadaka iliotolewa pale.. Kilikuwa ni chakula cha mchana walichandaliwa.. Wao wenyewe wamefurahi maana mbali ya chakula pia ndo kama sehemu yao ya kukutana kwa uwingi wao..
 
Hakuna Ubaya wowote, ila sioni kama ni Issue kwa Tajiri kama Mengi kuwaandalia walemavu Pilau na soda basi iwe ni issue, wewe unajuwa Mengi ameshadhulumu pesa kiasi gani?
 
Sawa ameshadhulumu pesa nyingi tu but at least anarudisha japo ni 0.0001 moja ya alichodhulumu kwa watanzania.. Utamuweka kwenye kundi moja na hawa wanaodhulumu mali zetu na kwenda kujenga mahekalu na nyumba za kifahari hapa na nje ya nchi bila ya kutoa msaada wowote kwa watanzania..?
 
Hakuna Ubaya wowote, ila sioni kama ni Issue kwa Tajiri kama Mengi kuwaandalia walemavu Pilau na soda basi iwe ni issue, wewe unajuwa Mengi ameshadhulumu pesa kiasi gani?

JF nipahala pa kuweka ma-document ya siri yanayo shindikana kuwekwa sehemu nyingine. Lete ushahidi wa dhulma alizofanya mengi, lasivyo mwache afanye anachoona bora kwake na we fanya yakwako. TZ ina watu wengi wasiojiweza hatuna budi sisi wenye fursa kidogo tukawakumbuka.
 
Mkuu sio sadaka iliotolewa pale.. Kilikuwa ni chakula cha mchana walichandaliwa.. Wao wenyewe wamefurahi maana mbali ya chakula pia ndo kama sehemu yao ya kukutana kwa uwingi wao..

Ule ni udhalilishaji tu hakuna kitu cha maana alichofanya!
 
JF nipahala pa kuweka ma-document ya siri yanayo shindikana kuwekwa sehemu nyingine. Lete ushahidi wa dhulma alizofanya mengi, lasivyo mwache afanye anachoona bora kwake na we fanya yakwako. TZ ina watu wengi wasiojiweza hatuna budi sisi wenye fursa kidogo tukawakumbuka.
Invisible
3rd May 2009 13:22
#204 Robot
admin.png
Array

Join Date : 11th February 2006
Location : Here...!
Posts : 9,195
Rep Power : 100000
Likes Received4343
Likes Given4363

[h=2]
icon1.png
[/h]
Anasema Mengi akidaiwa anadai kampuni zimekufa au kampuni hazipo tena.

Anaanza kuonekana kukosa cha kuongea.... Kakaa kimya kwa muda na anaanza kuperuzi makaratasi...

Anasema Mengi badala ya kurudisha pesa alishirikiana na maafisa wa hazina kufoji nyaraka kuonesha kuwa alishalipa fedha hizo. Anaomba ufanyike uchunguzi huru kubaini hilo.

Anasema Mengi kwa kutumia nafasi yake pale NICO, alikiuka maadili kwa kununua hisa kwenye kiwanda cha Moshi ambacho alijua kina hali mbaya.

Anasema aliteketeza Bil 2.5 hela za watanzania masikini kwa kuwekeza kwenye kiwanda cha Moshi ambacho kwa sasa kimefilisika.​

user-offline.png
Invisible

3rd May 2009 13:23
#206
Robot
admin.png
Array

Join Date : 11th February 2006
Location : Here...!
Posts : 9,195
Rep Power : 100000
Likes Received4343
Likes Given4363

[h=2]
icon1.png
[/h]
Anasema aliingia kwenye ubia na serikali katika umiliki wa TANPACK na akakopa hela kukiingiza kiwanda kwenye mikopo na baadae akaigeuzia kibao serikali ndiyo ilipe deni.​

user-offline.png
Invisible

3rd May 2009 13:30
#218
Robot
admin.png
Array

Join Date : 11th February 2006
Location : Here...!
Posts : 9,195
Rep Power : 100000
Likes Received4343
Likes Given4363

[h=2]
icon1.png
[/h]
Bado anaongelea issue ya Mengi kukwepa kodi na mtindo wa kuwapa hela walemavu wachache na kuwatumia wao kama ngao.​
 
Haya bana, lakini kidogo anarudisha kwa jamii.
 
Hao wengine wengi!!! unaowafahamu kuwa wamedhulumu wako wapi angalau watoe kwaajili ya wenye uhitaji???
 
It is a pity that some members of JF consider that shrewd businessmen like Reginald Mengi who have made money and paid all their taxes 'wanadhulumu' Wananchi. Ingawa mimi sijui undani wa shughuli za Mengi na kampuni zake za IPP, umma wa Tz unafahamu Mengi anavyojitolea sana binafsi kuchangia miradi ya kijamii.

Ni vema baadhi yetu tukajaribu kuiga misimamo yake, na pale ambapo hatuna uwezo kulingana na wa kwake, tukamshukuru. Mimi binafsi naungana na hao walemavu kumwombea Mungu amzidishie.
 
Mmeshaanza na "Fisadi Papa" na "Fisadi Nyangumi"!!!!!!
 
Wanyewe wanakula wanacheza wanafurahi wanajiona wako sawa, wewe unayelalamika ndio unaowanyanyapaaa unawaona vituko halafu unalalamika, mijitu mingine bana mibinafsi.
 
Watu wanaomlaumu Mengi nawashangaa sana, jamani Mengi amechangia mambo mengi mno ya kijamii, hamkumbuki michango yake mingi tu in terms of milioni mia moja au zaidi. Ni matajili wangapi ambao wanajitolea kama Mengi? Jamani Mengi anastahili kupongezwa.
 
Naangalia hapa ITV kipindi maalum cha chakula cha mchana ambacho IPP Chairman Mr. Mengi amewaandalia walemavu hivi karibuni.. Naona jinsi walemavu wanavyofurahi kwa kula na kucheza.. Mr. Mengi anastahili pongezi kwa hili.. Huu ni mwaka wa 19 mfufulizo kuwaandalia walemavu chakula cha mchana..

Wengine wanarudishaje kwa wananchi..?
mtazamo wangu ni kwamba hawasaidii anawatumia na Kama nionavyo ndivyo anakufuru na atapata anachostahili tukimwona.
 
Back
Top Bottom