ndala fupi
Member
- Dec 1, 2018
- 5
- 4
Mimi nina mtaji wa 650000 je ninaweza kulima zao gani au ela ndogo sana nilikua namba msaada wanajf
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi huko mkuu
jaman kilimo cha ufuta hhahaha....nyoso sana...ingawa unalipa