Wale wazinzi zingatieni hili

Wale wazinzi zingatieni hili

HORSE POWER

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
2,328
Reaction score
1,666
Nimekuja huku kukumbushana tu maana hata mimi ukumbusho huu unanihusu.
Zinaa ni uchafu na ni njia mbaya lakini wanaadamu tumeihalalisha rasmi.Sasa ni vyema tukazingatia yafuatayo;

Ukizini na mara moja uchafu huo wa zinaa utakuandama mpaka na wewe watu wako wanne wa karibu nao waziniwe vile vile.Nao ni mama yako mzazi,dada yako,mkeo na binti yako.Na wanaziniwa kidhalili ili kufidia fujo unazofanya.Ukimzini dada wa mtu kwa pesa basi dada yako anaziniwa bure.

Ukimzini dada wa mtu gesti basi dada yako anaziniwa kwenye mapori.Ni malipo kamili kwa wafanyao uchafu huu.

'What goes around comes around'.
 
Ukizini na mara moja uchafu huo wa zinaa utakuandama mpaka na wewe watu wako wanne wa karibu nao waziniwe vile vile.Nao ni mama yako mzazi,dada yako,mkeo na binti yako.Na wanaziniwa kidhalili ili kufidia fujo unazofanya.Ukimzini dada wa mtu kwa pesa basi dada yako anaziniwa bure.Ukimzini dada wa mtu gesti basi dada yako anaziniwa kwenye mapori.Ni malipo kamili kwa wafanyao uchafu huu.
'What goes around comes around'.
Swadaqta thuma Swadaqt alf swidq !!!
 
Nimekuja huku kukumbushana tu maana hata mimi ukumbusho huu unanihusu.
Zinaa ni uchafu na ni njia mbaya lakini wanaadamu tumeihalalisha rasmi.Sasa ni vyema tukazingatia yafuatayo;

Ukizini na mara moja uchafu huo wa zinaa utakuandama mpaka na wewe watu wako wanne wa karibu nao waziniwe vile vile.Nao ni mama yako mzazi,dada yako,mkeo na binti yako.Na wanaziniwa kidhalili ili kufidia fujo unazofanya.Ukimzini dada wa mtu kwa pesa basi dada yako anaziniwa bure.

Ukimzini dada wa mtu gesti basi dada yako anaziniwa kwenye mapori.Ni malipo kamili kwa wafanyao uchafu huu.

'What goes around comes around'.

Science ya wapi
 
Nenda Pemba watu wanaoana ndugu wanakamuana papuchi kama kawaida
 
Back
Top Bottom