englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,209
Hivi zina tofauti gani na hizi ambazo siku hizi mnaziita "Simpo".Duuh longitime mazee alininunulia yani nilikuwa nizichukia kiama, hadi nikasingizia zimeibiwa ndo nikatafutiwa ustarabu mwengine.