wale wasichana wenye mimba.............

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,839
31,609
hivi mkuu anavyosema wasichana watakaopata mimba hawatasoma waende private,hivi ni kwamba hajui watoto wanaosoma shule za serikali wengi wazazi wao ni wale wa kipato cha chini???kama wangekua na uwezo si wangewapeleka watoto wao huko private schools in the first place????hivi mkuu haoni kuwa watakaoathirika most ni wale wanaotoka kwenye familia duni,and it makes sense if you think about it;hao watoto ni vulnerable Zaidi,namaanisha wako at risk kurubuniwa kwa vitu vidogo ambavyo mzazi hana uwezo wa kugharamia???!

anyway anzisheni shule online, watabenefit kupata elimu kwa njia hio,kama kuingia darasani physically ni ishu then tengenezeni platform ,ambayo italenga kumuelimisha huyu mama mtarajiwa at home

najua kuwa na internet na computer itakuwa challenge,kwani familia zao ni duni,mie ningependekeza kuwe na kama NGO,ambayo mnaweza kuiombea msaada,specific wa kuelimisha watoto waliobeba ujauzito,trust me utapata misaada mingi tu,

Magufuli,maendeleo sio kujenga chato,ni kuelimisha waTanzania Zaidi na Zaidi ,kila mtu capable wa kusoma asome,disabled,grown ups,pamoja na watoto waliopata mimba shuleni.............EVERY ONE!!! wewe kazi yako ni kuwajengea system kila mtu abenefit,again maendeleo ni kuwa na educated work force/nation.
 
elimu inahitajika sana kutolewa kwa wanafunzi wanaotoka kwenye familia zenye uwezo mdogo namna ya kujikinga na mimba zisizotarajiwa.
 
elimu inahitajika sana kutolewa kwa wanafunzi wanaotoka kwenye familia zenye uwezo mdogo namna ya kujikinga na mimba zisizotarajiwa.

ni kweli mkuu,zaidi ya elimu,condoms pia zigawiwe bure kwa wanafunzi,au wanunue kwa discount,lets face it,kuwazuia wasifanye ngono kabisa haiwezekani,cha muhimu ni kuwaelimisha,wa play safe,
 
Ni vyema watoto wakajiheshimu ili wasijepata huo ujauzito

ndio ila sex ni natural thing,huwezi kuzuia completely,vijana ukiwaweka pamoja watafanya tu,kama bado damu zinachemka,hii ni nature,hakuna nchi yeyote duniani isiyo na tatizo la teenage pregnancies,
 
Sijawahi kuamini hata siku moja kuwa Serikali yetu ina dhamira ya dhati kuwapa elimu watu wake. Hata hii wanayotoa ni ile ya kutuzuga tu. Hivyo wanapopata hivi visingizio wanavitumia kuendeleza mkakati wa kuminya hata hii inayotolewa. Imani yangu ni kuwa mtaji mkubwa wa CCM ni "ufinyu" wa elimu ya Watz.
 
Back
Top Bottom