LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,475
- 12,509
Wakuu kwa mwenendo wa marekani navyouona ,wapo na raisi Obama ambaye angalau sio mbaguzi lakini..watu weusi kila siku wanyanyaswa na kuuliwa
Najiuliza sana hivi huyu trump akiingia madarakani itakuwaje ...maana yupo kwenye kampeni tu lakini kashaanza na maneno ya kibaguzi
Kipaumbele chake ni kurudisha wageni wote makwao ,ambao hawaishi kiuhalali....nadhani NYANI NGABU Na MANGE KIMAMBI soon tutawapokea airpot.