Wale wapenzi wa Donald Trump wanaojiita USA baby Wajiandae kurudishwa makwao

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,139
11,151
Wakuu kwa mwenendo wa marekani navyouona ,wapo na raisi Obama ambaye angalau sio mbaguzi lakini..watu weusi kila siku wanyanyaswa na kuuliwa
Najiuliza sana hivi huyu trump akiingia madarakani itakuwaje ...maana yupo kwenye kampeni tu lakini kashaanza na maneno ya kibaguzi

Kipaumbele chake ni kurudisha wageni wote makwao ,ambao hawaishi kiuhalali....nadhani NYANI NGABU Na MANGE KIMAMBI soon tutawapokea airpot.
 
"...Ambao hawaishi kiuhalali" sasa kama hawaishi kiuhalali si warudishwe makwao mbona hata kwetu hapa serikali ya awamu ya nne ilikuwa inawarudisha wanyarwanda na warundi makwao wasiokuwa wanaishi kiuhalali, hata hao wabongo ambao hawaishi kiuhalali wafuate sheria na taratibu za Huko ili wasirudishwe makwao¿
 
Wakuu kwa mwenendo wa marekani navyouona ,wapo na raisi Obama ambaye angalau sio mbaguzi lakini..watu weusi kila siku wanyanyaswa na kuuliwa
Najiuliza sana hivi huyu trump akiingia madarakani itakuwaje ...maana yupo kwenye kampeni tu lakini kashaanza na maneno ya kibaguzi
Kipaumbele chake ni kurudisha wageni wote makwao ,ambao hawaishi kiuhalali....nadhani NYANI NGABU Na MANGE KIMAMBI soon tutawapokea airpot.
Ikilinganishwa uongozi wa Bush na Obama, inasemekana Obama amerudisha watu wengi walikotoka kuliko Bush.
 
Daah huu uzi niliutoa kama utani na leo yanatimia
 
b1cfebcba1bc5a8e8a03c729d810dd44.jpg
his winning
 
Back
Top Bottom