IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,448
- 2,290
Wakali wa series mje na vyuma vikali vya moto hapa jf amkosekani tupeane.
Izo chini nsha zicheki ziko poa sana na binafsi nazielewa za mtindo huo zenye mwendelezo na sio za kuunga matukio kama 24 hrs.
m
series za action kama izo na upelelez wa kusaka wahalifu like prison break hua zina nikosha sana.
Iyo walking dead nzur ila hii A man called god ni Kali sana nayo.
prison break niliimaliza kupitia iyo app apo chini ifate google kwa watakaopenda download ipo kama Netflix ni mb zako tu wala akuna malipo ya mwezi wala week.
But huwez hamisha movie au series nje ya app subtitles zipo yani full package
Now nipo na outside the wire but hii ni movie sio serious.