Movie Clue
Member
- Jul 27, 2018
- 38
- 9
Wakuu.. Habari zenu, mimi ni mgeni humu na hii ni thread yangu ya kwanza. Nawajulisha kuwa nauza movies na series kwa bei nafuu sana. Wasiliana nami nikuuzie movie yako uliyoitafuta kwa muda mrefu bila kuipata na hata kama utahitaji movie ambayo sina, nitakuomba unipe 2 days only na movie yako utaipata. Napatikana Sinza E mtaa wa Mwaibula. Movie moja ni Tsh.2000 ila ukihitaji movies kuanzia 3-6 utapata kwa Tsh.1500 na ukihitaji movies kuanzia 7 kwenda juu utazipata kwa Tsh.1000 kwa kila moja. Wote mnakaribishwa.