P papaa flancis Member Joined Aug 2, 2014 Posts 6 Reaction score 0 Sep 4, 2014 #1 jamani naombeni mnielekeze kisarika secondary ilipo nataka nimpeleke dogo kachaguliwa huko. Halaf ningependa kujua hiyo shule ina mabweni au la.
jamani naombeni mnielekeze kisarika secondary ilipo nataka nimpeleke dogo kachaguliwa huko. Halaf ningependa kujua hiyo shule ina mabweni au la.
Punnisher JF-Expert Member Joined Jul 28, 2014 Posts 1,196 Reaction score 1,417 Sep 4, 2014 #2 Iko moshi-uru mawela-timbirini pia ina mabweni