Wale wamiliki wa Nissan Dualis 2010, na wengine wenye ufahamu wa Bei ya wheel bearing za Nissan Dualis

Tractor

Member
Joined
May 23, 2019
Posts
94
Reaction score
139
Habari za mida wakuu!!

Wale wamiliki wa Nissan Dualis 2010, na wengine wenye ufahamu wa Bei ya wheel bearing za Nissan Dualis.
Gari yangu Kuna mlio unavuma kwenye miguu ya nyuma Sasa Kuna fundi nilimpelekea akacheki akaangalia akasema b

Wheel bearing zipo vizuri, aidha ni bearing za shaft ya fourwheeler. Ila nilimuuliza Bei nae akasema hajui, wakuu naombeni mwenye kujua Bei ili nijipange mapema.

Ahsanteni naomba kuwasilisha.
 
0652 384 404, naomba cheki na huyo fundi wangu atakusaidia.
 
Back
Top Bottom