Half London
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 261
- 115
Habari wanajamvi! Leo nimekumbuka maisha ya shule ya Lomwe pamoja na shule jirani kama Shighatini,Kiriki na Minja. Naombeni tujikumbusheni kidogo kipindi hicho.
Usangi Day?Kirongaya?Usangi Girls?
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
yah mambo ya kishumba kwa sana, ugali kwa parachichi hahaha
nlikuwa na Dame hapo kwenye shule yenu
Wewe kipindi hicho ulikuwa wapi?
Dah nawakumbuka washkaji kama Mbonea Sadikiel,Rajabu Mwanyenza,IDDI ABUBAKARI,Ustaadh NURDINKipindi hicho head master KANGEROwacha kaka,maisha yalikuwa very nice down there.
Lomwe shule nzuri sana discipline ya hali ya juu kipim hicho yuko kabulunge watoto walifukuzwa sana huyo ticha aki deal na wewe lazima ufukuzwe,lomwe kwa kweli kuanzia kitaaluma mpaka michezo ilikua hatari sana kuna watu kama wakina david masha,frank ringo,opel,kabila,choka,abel ni noma uwanja ulikua unafurika wanakijij siku ya mechi
duh mmenikumbusha mbali Sana.HV makalla na kabulunge bado wapo?Vp! Second master David Msuya,Mtera,Kabulunge,maza J,Makala,marehemu msaarifu Dickson,marehemu Underskoy n.k
mkuu umenikumbusha mbali Mimi nilisoma Minja 1991-1994 we acha mechi za mpira kati ya lomwe na minja ilikuwa vita tupu
duh mmenikumbusha mbali Sana.HV makalla na kabulunge bado wapo?