Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,211
- 27,034
Hehehehe hatari aisee magamba hakufai maji yanga kwenye ndoo huku[emoji12] [emoji12]
Mi nimeishi mbeya 4 years hasa mbeya town Ila lushoto ni Namba nyingine kwa baridi hakufai
Cha kushangaza wazawa hawana habari wanatembea na vesti kitaa[emoji2] [emoji2]