Mi nimechaguliwa hapa mwaka huu kusomea education in special needs science subject anefahamu hii kozi upande wa ajira anijuze na mazingira ya chuo kwa ujumla nawasilisha
Mi nimechaguliwa hapa mwaka huu kusomea education in special needs science subject anefahamu hii kozi upande wa ajira anijuze na mazingira ya chuo kwa ujumla nawasilisha
DU! mkuu kumbe baridi hapo ni kali e vp totozi zipo
Mi nimechaguliwa hapa mwaka huu kusomea education in special needs science subject anefahamu hii kozi upande wa ajira anijuze na mazingira ya chuo kwa ujumla nawasilisha
kwahiy ulichagua koz hujui utakuwa nan co
uko sekomu magamba kuna baridi kali sana msisahau makoti mazitona mimi ni mmoja wao kati ya waliopangiwa SEKOMU.nmefurahi kupata nafas ya kusomea ualimu kwa SN.Kwasasa naona mimi na wenzangu tuliopangiwa hapo tujiulize na kumshirkisha mwenyez mungu ili tupate mkopo.karibuni 1st year wenzangu SEKOMU tukapate elimu
tumaini,ruco hakuna baridi hapo bali kuna upepo tu,lushoto magamba baridi inagonga mpaka nyuzi joto 5baridi gani nyie na sisi tunaosoma ruo na tumaini vya iringa tusemeje?
hahahahahaa inakaribia freezing point sio!!!!!!tumaini,ruco hakuna baridi hapo bali kuna upepo tu,lushoto magamba baridi inagonga mpaka nyuzi joto 5
unacheka?? siku ukifika usisahau kunipa habari yakehahahahahaa inakaribia freezing point sio!!!!!!
sawa mkuu ntakupa mrejesho.unacheka?? siku ukifika usisahau kunipa habari yake
Kama hujafika lushoto acha kupiga kelele za kijinga usidhani baridi Tanzania hii lipo mbeya na iringa tubaridi gani nyie na sisi tunaosoma ruo na tumaini vya iringa tusemeje?
pamojasawa mkuu ntakupa mrejesho.
nadhani hajawahi kufika lushoto magamba huyo mimi mwenyewe nilikuwa mbishi kama yeye,ila mwaka juzi mwezi 6 nilienda lushoto magamba..aisee baridi linapiga mfano hakuna mpaka ice zinateremka..nimekaa njombe na mufindi ila magamba komeshaKama hujafika lushoto acha kupiga kelele za kijinga usidhani baridi Tanzania hii lipo mbeya na iringa tu
.
Njoo kwanza lushoto kati ya mwezi 5 na 8 ujionee tofauti
Acha stunts za kiduanzi[emoji2]