Wale waliochaguliwa SEKOMU tukutane hapa jamani

JITA MAN

Member
Joined
Sep 20, 2015
Posts
31
Reaction score
2
Mi nimechaguliwa hapa mwaka huu kusomea education in special needs science subject anefahamu hii kozi upande wa ajira anijuze na mazingira ya chuo kwa ujumla nawasilisha
 
hy kozi iko pouh katik hiko chuo na kingine mazingira mazur ila baridi kwa sanaaa andaaa makoti sawa alafu hmn usharo kulee ni chuo cha kanisa so be care mavazi yao ni suruar zisizo ban mashat hvyo ila vizur karibu sn sekomu mwaya
 
Dahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, nikikumbuka lile barid la mwishon mwa semster yapili huwa nacheka mwenyew yan ad midomo inaganda.
 
baridi gani nyie na sisi tunaosoma ruo na tumaini vya iringa tusemeje?
 
Mi nimechaguliwa hapa mwaka huu kusomea education in special needs science subject anefahamu hii kozi upande wa ajira anijuze na mazingira ya chuo kwa ujumla nawasilisha

Ajila zipo ukimaliza chuo unakuw diwani
 
na mimi ni mmoja wao kati ya waliopangiwa SEKOMU.nmefurahi kupata nafas ya kusomea ualimu kwa SN.Kwasasa naona mimi na wenzangu tuliopangiwa hapo tujiulize na kumshirkisha mwenyez mungu ili tupate mkopo.karibuni 1st year wenzangu SEKOMU tukapate elimu
 
uko sekomu magamba kuna baridi kali sana msisahau makoti mazito
 
Karibu sana Lushoto ni kamji fulan kadogo ila kazuri kwa hali ya hewa na mandhari kama Ulaya, baridi ipo mkuu. Totoz labda za kitaa kwa sana wapare, wasambaa na wambugu[emoji13] [emoji13] na mwisho matunda ya kutosha. Karibu
 
baridi gani nyie na sisi tunaosoma ruo na tumaini vya iringa tusemeje?
Kama hujafika lushoto acha kupiga kelele za kijinga usidhani baridi Tanzania hii lipo mbeya na iringa tu
.

Njoo kwanza lushoto kati ya mwezi 5 na 8 ujionee tofauti

Acha stunts za kiduanzi[emoji2]
 
nadhani hajawahi kufika lushoto magamba huyo mimi mwenyewe nilikuwa mbishi kama yeye,ila mwaka juzi mwezi 6 nilienda lushoto magamba..aisee baridi linapiga mfano hakuna mpaka ice zinateremka..nimekaa njombe na mufindi ila magamba komesha
 
Back
Top Bottom