hahahahhahaaaa karibu kijana ila pale supp zipo nje nje ishu ni kukomaaa tuu while other things remain constant la sivyo kila semi utakua na supp
majina ya mkopo yanakuja baada ya kuripoti chuokwa anaejua, je ni document zipi na zipi natiwa niwe nazo siku ya registration.
na kwa anayejua taratibu zote za mwanzo ninazotakiwa zifanya kabla ya kuanza kula shule.
Pia kwa mwenye ufahamu je majina yatakayotolewa na TCU hiyo tar 22 yataambatananishwa na majibu ya bodi ya mikopo?
majina ya mkopo yanakuja baada ya kuripoti chuo
vitu vinavyoitajika ni
leaving certifica ya o level n advnce
birth certificate
kuna admission letter utapewa wakat unakuja so kuna baadh ya document utazijaza pia zinahitajika
Asante sana mkuu, naomba niulize tena
Admission letter nitapewa chuo au TCU,
hizo ducument umesema nitajaza zimo ndani ya bahasha ya admission au zinapatikana hapohapo chuo.
Thanks
majina ya mkopo yanakuja baada ya kuripoti chuo
vitu vinavyoitajika ni
leaving certifica ya o level n advnce
birth certificate
kuna admission letter utapewa wakat unakuja so kuna baadh ya document utazijaza pia zinahitajika
Hongera mkuu kwa kuja ifm mimi pia naingia 2nd year hpo nachukua insurance na risk managmnt ki ukweli chuo ni kizur bt ukijisahau na ukaacha kufanya kilichokuleta pale ndugu chuo utakiona kigumu....anywai
congrats
Vp lkn mkali mkopo umepata iyo kozi au saman lknHongera mkuu kwa kuja ifm mimi pia naingia 2nd year hpo nachukua insurance na risk managmnt ki ukweli chuo ni kizur bt ukijisahau na ukaacha kufanya kilichokuleta pale ndugu chuo utakiona kigumu....anywai
congrats