Wale walinda BRAND mnakaza sio?πŸ”₯

Kulinda brand muhimu.. akijifanya cake we kuwa icing sugar tu. Atakae surrender atamuanza mwenzake πŸ˜‚
Saa ingine unaeza dhani unalinda brand kumbe upo mwenyewe, mwenzio kakukaushia sio kwamba analinda brand au anakufanyia makusudi, bali ni kwamba wewe sio kipaumbele kabisa kwenye maisha yake, hata kichwani kwake mda mwingi haupo, kiuhalisia unaeteseka ni wewe, mwenzio wala hana hata habari Depal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…