Wale wale!!!

The rate at which man u is going down am sure they will discover some oil soon
 
We muache ,nimemuachia hiyo FA ole wake asichukue atanikoma, halafu mpe salam kwamba Monaco wanamsubiri kwa hamu ukiona mwenzio ananyolewa........

April nalipa kisasi.... Lol

Unajua arsenal sie tunaenda mdogo mdogo mwishoe tunapata kitu hatuna haraka.Mwanzo mzuri huonekana asubuhi kama umeshindwa kipindi hiki april utawezea wapi?Na hao monaco tutawakalisha kama tulivyowakalisha

Cc BAK na nifah
 
Last edited by a moderator:

Hahaha!!! Nicheke mie ninenepe nisiongee mengi nisiwaharibie furaha yenu......
 
Last edited by a moderator:
Unajua arsenal sie tunaenda mdogo mdogo mwishoe tunapata kitu hatuna haraka.Mwanzo mzuri huonekana asubuhi kama umeshindwa kipindi hiki april utawezea wapi?Na hao monaco tutawakalisha kama tulivyowakalisha

Cc BAK na nifah

Acha kabisa nakosa usingizi kila nikifikiria hiyo game.Mungu atusaidie.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…