Nimekuwa nikifuatilia olympic hasa riadha lakini sijawaona hawa ndugu zetu. Hivi walikuwa washiriki wa mita ngapi? Wameshiriki? Nataka kujua maana dah! Riadha ya mwaka huu si wakenya wala ethiopia, mambo yamekuwa sio mambo.
[/COLOR]]Nimekuwa nikifuatilia olympic hasa riadha lakini sijawaona hawa ndugu zetu. Hivi walikuwa washiriki wa mita ngapi? Wameshiriki? Nataka kujua maana dah! Riadha ya mwaka huu si wakenya wala ethiopia, mambo yamekuwa sio mambo.
Wawakilishi wetu toka waliposhuka airport hapo Uingereza walianza kukimbia hadi sasa wanaendelea; nadhani wameishafika Italy!!!! Ndiyo maana hujawaona kwani hawakuwa katika Olympics....Walikwenda kukimbia kimbia tuu Ulaya....Viongozi wa Olyimpics Tanzania walienda KUTALII na kuona michezo ambayo nchi zilizokuwa serious walituma wawakilishi wao kushindana
mkuu suruma, ndo maana kuna mzee alitangaza kuchoma vyeti vyake wakirudi na medali? Wanaendeleza mambo ya kuchaguana kwenda kwenye michezo kama kwenye si hasa!
mkuu suruma, ndo maana kuna mzee alitangaza kuchoma vyeti vyake wakirudi na medali? Wanaendeleza mambo ya kuchaguana kwenda kwenye michezo kama kwenye si hasa!