Mabadiliko ya kimazingira, wale wanapenda miti mingi na zaidi misitu kama ilivyo kwa vipepeo.
Kwa mijini labda nyuki ndio wabishi maana wakiwa na makazi ndani ya 1km au 2km utajua tu, utawakuta hadi kwenye chupa za fanta orange au hii migahawa ya wazi unawakuta hadi kwenye bakuli za sukari.
Ujue hao hawapo mbali na mahali hapo.