nimejaribu kuisikiliza kwa umakini na ulikuwa una idea nzuri ila tatizo ni kwamba kuna baadhi ya music elements haziingiliani.mfano hii ya kwako mwanzo umeianza vzr na emotional melody bt pale ulipoweka 808's umetoa maana halisi ya kule mwanzo ulipoanza maana imekuwa km ina swing ni ingekuwa safi km ungeweka bass...kngne snares ulizozitumia n othr samples hazipo vzr sana+instruments zako n samples umezishusha sana sauti kiac kwamba itakupa shida unapofanya mastering ya beat yako...na arrangement ya song haijakaa poa ingekua ni vyema ungetofautisha chorus na verse japokuwa some beats huwa zpo the same mwanzo mwisho
kuna marekebisho meng unatakiwa kuyafanya all in all ongeza juhudi ni hayo tu