princess enny
JF-Expert Member
- May 27, 2012
- 1,038
- 381
- Thread starter
-
- #41
hahahhaha!!! haya kajifiche!!!!!!hahahah...basi tutajificha wote round inayofuata, we endelea kusafaa sitaki niwe wa kwanza
Kombolela anytime...................
oposite kuvuta kamba kwa wavivu bana... lolnjoo tuanze na kuvuta kamba!!
table tennis lazima kwanza niwe na uwezo wa kunmiliki $1 Billion bila hivyo hapana maana si mchezo wa makabwela huu!Hizi tutacheza tukishakuwa wakubwa. Lazma nikutoe nishai, tuongezee na table tennis
Huo mchezo wa kuvaa JENZI sijaujua badoyan hili jukwaa limetawaliw na football tu!!! mi naomba leo tucheze michezo mingine!! kama rede kwa girls!! tushindane kuvuta kamba!! kombolela! voolleyball, netball! na mingineyo!!
msisahau kuvaa jenzi!!
kombolela na karata!!!!!!Huo mchezo wa kuvaa JENZI sijaujua bado
khaaa huo ni mgeni!!!!!!!!tucheze hangman.....mnaujua!..any body guess the letters in the word " B_ _ _ _ _ _ _ _ _y"..HERUFI MOJAMOJA P'SE UKIKOSEA U'R BUSTED
heee tunachezaje huo!!??Kuna game nimekumbuka ila sasa sijui tunaitaje... "La marelle"?
heeeee njoo tucheze makwenzi!!!!!Nimepitwaje na hii?
mdako macho yashazeeka!! njoo tucheze bao!!mdako vipi?