Eversmilin Gal
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 778
- 270
- Thread starter
-
- #41
kuna njia mbili huko mbinguni moja pana.....nimesoma kipindi cha ma Sambaya msosi wetu tuliku tunawashinda hata private (MES) ila ndo tulikua tunapiga kazi ucpime,fete (waislamu walikua wanafunika)weruweru idumu daima
jamani na sie tukumbushiane maisha ya weruweru
Kwa kuanza :Mungu baba bariki Weruweru ......
Endeleeni
weruweru ndio nini?
Mimi pia nimesoma kipindi cha mama sambaya ila nilikuwa A level,unamkumbuka mwl abdalah....mwl wa undo....
sasa si ndo sheria ya shule unategemea tungefanyaje.Nakumbuka tulikua (Umbwe) tunacheza nao disko! Walikua wanabore wanakuja na uniform disko!
Mimi pia nimesoma kipindi cha mama sambaya ila nilikuwa A level,unamkumbuka mwl abdalah....mwl wa undo....
hata mi nilikua a level mama matron,mr kunda,sister alkanjela na maua
Yaani ukikanyaga maua na sister alkanjela akikuona naile sauti yake utamsikia "you form five or six"............