Wadau, wakati website ya udom inatoa list ya wa2 waliokuwa admitted, me jina langu sikuliona, bt tcu walivyo release nimepangiwa udom computer engineering, sasa apo imekaaje? Au nimeachwa hewani?
Wadau, wakati website ya udom inatoa list ya wa2 waliokuwa admitted, me jina langu sikuliona, bt tcu walivyo release nimepangiwa udom computer engineering, sasa apo imekaaje? Au nimeachwa hewani?
Mambo yameanza kuwiva jamani hebu piteni HAPA kuna taarifa juu ya siku ya kufungua chui ambayo na September 30th, nikipata time nta post full information.
kuna viumoja mfano kule facebuk kuna udom facebookers, udom chember, kwa wale wa scnc kuna k2 knaitwa hi collage ipo kama face buk wameitegeneza watt wa informtcs
pia ipo hii moja inaitwa Udom Lawyers Group utaipt facebuk,kwa wale mliochaguliwa ktk kozi ya Legal Professional mnakaribishwa kujoin nasi km una lolote unatk kujua kuhusu udom na kozi mbalimbali hususan LL.B.ama Sheria,hapa ndio sehemu husika.Hongereni nyooooooote mliochaguliwa chuo kikuu kikubwa afrika mashariki na kati.Nawakaribisha nyote.