Wale wa UDOM

Wale wa UDOM

Stevow12

Senior Member
Joined
May 20, 2012
Posts
116
Reaction score
25
Sio mbaya tukijuana tuliochaguliwa UDOM, mimi binafsi nitakua CoES petroleum engineering
 
CIVE pale kat,information system,cjui mkopo upo au ndo magoya?
 
hongereni sana vijana kwa kuwa selected udom,its very nice university!!msalimieni sana prof mlacha
 
oya atakaepata issue za joinin instruction 2julishane
 
Mimi ndo waziri wenu wa ulinzi, karibuni nawasubiri, usalama wa kutosha upo toka kwa Suma JKT pamoja na Stemo Security.
 
Katika pitapita kwenye website ya chuo chetu(yaaap ni chetu) nimekutana na info hii
The Process of Issuing Admission Letter is Currently Closed, till next academic year(2012/2013)
For more information, Please contact:
+255 714 780 220; +255 714 982 684

Binafsi sina line ya tigo so hebu wadau mtest kupiga hizo simu tuone inakuaje
 
Kumbe CoES tupo wengi humu me ni kipande cha B.Sc in applied geology so pamoja wana.
 
Oyo mnaonaje tukiunda umoja wetu . Tunaupa jina la JF UDOM. Tutautumia kupeana support kwa mambo mbalimbali, studies na maisha ya kawaida. Guys itasaidia sana kwa sababu wengi tunaenda huko hatumjui mtu.
Kama wazo zuri basi tutumie thread hii kupanga mikakati.
NAWASILISHA.
 
Naunga mkono Hoja 100%
 
Back
Top Bottom