Wale wa udom si vibaya tukitambuna................

Maiga

Member
Oct 22, 2011
59
3
nawapa hongera wanafunzi wote mliochaguliwa chuo kikuuu cha dodoma , ni nafasi ya pekeee sana, MUNGU awabariki, kubwa la kwangu ni kutaka kutambuana tu, ili tusaidiane kwa mambo madogo madogo yanayoleta usumbufu hasa mara tu unapowasili, MIMI NIPO COLLEGE YA EDUCATION, NASOMA GUIDANCE AND COUNSELING, CHUO NAKIFAHAM VIZURI SANA, HIVYO KAMA UNA TATZO , NIULIZE., NAJUA ADHA ZILIZONIKUTA KIPINDI CHA U FIRST YEAR, .KARIBUNI SANA WAPENDWA
 
nawapa hongera wanafunzi wote mliochaguliwa chuo kikuuu cha dodoma , ni nafasi ya pekeee sana, mungu awabariki, kubwa la kwangu ni kutaka kutambuana tu, ili tusaidiane kwa mambo madogo madogo yanayoleta usumbufu hasa mara tu unapowasili, mimi nipo college ya education, nasoma guidance and counseling, chuo nakifaham vizuri sana, hivyo kama una tatzo , niulize., najua adha zilizonikuta kipindi cha u first year, .karibuni sana wapendwa
tunashujuru kwa kujal ila kuna thread 2
1.wale wa udom
2.ushauri wa bure kwa walio chaguliwa udom
hebu twende huko maana si vizuri kuwa na threads nyingi
 
Back
Top Bottom