Wale wa TRA mkeka upo hewani

Kuna mtu ako na GPA ya 4 lakini jina halijatoka shortlisted [emoji848][emoji848]

Lakini wenye lower second majina yametokea kwenye shortlisted,

Hii inaingiaje akilini?
Ndugu inawezekana ume-graduate karibuni, kama sivyo basi uzoefu wako ni mdogo sana. Ukiachana na kazi za ukufunzi pengine na utafiti, hakuna sehemu GPA inazingatiwa kama kigezo cha mtu kupewa kazi.
 
In the first place ukiwa bado hujawa interview kigezo kikubwa cha kuchuja upate shortlisted ni GPA miongoni mwa waombaji.

Mwenye GPA kubwa anapaswa kupewa kipaombele when other things remain constant.

Huwezi kumuacha kwenye shortlisted mwenye first class ukamuweka Mwenyezi second class kwa sababu gani ya msingi Kwa mfano?

Haingii akilini hata kidogo.
 

Unataka kusema mtu mwenye gpa ya first class na mwenye experience miaka 5 na lower class watakua sawa??!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…