Izo tube ni kubwa sana. Mimi bado nipo na msimamo wangu ule ule, 3 na 4 zitajaa kwa wakati mmoja.Namba tatu itajaa kwanza!!! Ukiangalia vizuri jinsi hizo tube za kwenda kwenye namba nne ni ngumu sana namba nne kujaa labda kama ukiwa na pumping mechanism kutoka namba 2 au 1!!!
Refer capillary action...gravitational forces, hydrostatic na hydrodynamic forces...
Kwann namba nne mkuu??namba 4 mkuu
Point yako kama ina make sense mkuu!!Liquid pressure find its own level. Hivyo 3 na 4 ziko same level zitajaa kwanza. Swala la vi mirija kuangalia juu si tatizo. Pressure yenyewe ndo itapump kwenye tubes.
Kuna mdau kasema kwa sababu ziko level moja then namba nne na tatu zitajaa sawa! We unasemaje??Namba 3 itajaa kwa sababu level ya no 4 itategemea no3 ijae
Unadhani ukubwa wa tubes ni sababu?? Mbona tube ziko sawa zote?Izo tube ni kubwa sana. Mimi bado nipo na msimamo wangu ule ule, 3 na 4 zitajaa kwa wakati mmoja.
ExactlyLiquid pressure find its own level. Hivyo 3 na 4 ziko same level zitajaa kwanza. Swala la vi mirija kuangalia juu si tatizo. Pressure yenyewe ndo itapump kwenye tubes.
Mtoa mada amesema wale wa physics waje, wewe umesoma combination gani?Haziwezi kujaa zote mda mmoja mkuu...angalia tube inayoenda kwenye namba nne ilivyo
Number 3 na 4..Assume outlet is equal to inlet amount.
No. 3 onlyNumber 3 & 4 will be full first, at the same time. Remember, water follow it's own level.