wale wa physics pitieni hapa munipe jibu

Number 3 & 4 will be full first, at the same time. Remember, water follow it's own level.
 
Namba tatu itajaa kwanza!!! Ukiangalia vizuri jinsi hizo tube za kwenda kwenye namba nne ni ngumu sana namba nne kujaa labda kama ukiwa na pumping mechanism kutoka namba 2 au 1!!!

Refer capillary action...gravitational forces, hydrostatic na hydrodynamic forces...
 
Hujajibu mkuu...ipi itajaa kwanza??
Ndio maana nikakwambia factor speed ya maji kama maji yanayoingia kwenye namba moja ni mengi kuliko yale yanayotoka lazima 1 ijae mapema kuliko hizo nyingine zoote

Fikiria 0.1L inaingia kwa sekunde moja n outlet ni o.oo1L kwa sekunde unategemea ipi itajaa mwanzo kama si beaker namba 1 mkuu..
 
Kwanini mkuu??
Kwasababu tube inayotoka namba 3 imepanda mpaka juu kwa namba 4 ambapo ni sawa na urefu wa namba 3..........na maji yatakavo kuwa yanapanda kimo kwenye namba 3 ni sawa na yatakavokuwa yanapanda kwenye tube inayoelekea namba 4
 

Assume outlet is equal to inlet amount.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…