Prezdaa Shaco
Member
- Sep 3, 2013
- 46
- 8
Naomba msaada wenu hivi tulioomba vyuo kwa kutumia NACTE majina waliochaguliwa yanawekwa kwenye website ya NACTE au yanawekwa kwenye website ya vyuo pamoja na wale Fresh. Maana kuna ndugu yangu kaomba UDSM na UDOM ila majina yametoka yeye hayumo, na kwenye profile yake hajaandikiwa chochote na kwenye website ya NACTE hawajatoa majina yoyote...!!