Jamani from the Currently updates nilizozipata from chuo ni kuwa utaratibu wa ugawaji rum za ndani ya chuo hautakuwa kama miaka ya nyuma..!!1st masters students hawatapewa rum kabisa,na all students who rnt admited by TCU including those who will be taking Certificate,Diploma and Mature entry will not be considered in rums za ndani ya chuo....!!Hii ni kutokana na uchache wa hostel za ndani ya chuo na idadi kubwa ya wanafunzi wanaoletwa na TCU.