WALE WA MWENGE UNIVERSITY(MOSHI)st. agustine panga mstari hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WALE WA MWENGE UNIVERSITY(MOSHI)st. agustine panga mstari hapa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Parata, Aug 25, 2012.

 1. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  nazani mshanielewa sindio au
   
 2. a

  axel fowly Senior Member

  #2
  Aug 25, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wapange mstari wa nini..??
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Kiko nchi gani hcho chuo mkuu?
   
 4. J

  JPM605 Senior Member

  #4
  Aug 25, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 186
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kipo Moshi eneo liitwalo Longuo karibu na Kcmc na ushirika. Kilipoanza kilikuwa na programme ya education. Waliopitia huko wanakirank kama chuo cha kwanza kwa ubora wa digrii ya ualimu. Binafsi nilitamani sana niende huko ila naenda DUCE kukwepa gharama. Cha msingi ukifika huko piga kitabu kama wanavyofanya wengine. Naomba kuwasilisha.
   
 5. gbrother

  gbrother JF-Expert Member

  #5
  Aug 25, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 409
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kwa kuongezea ni zao la SAUT na wanatoa hadi bsc in edu,
   
 6. Munambefu

  Munambefu JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 895
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 60
  Hapo kuna marashi ya kahawa si mchezo.Msisahau mablanket na koti
   
 7. M

  Mgimiloko Member

  #7
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli kabisa blanket muhimu sana na baridi pale ndio usiseme kama vp acha niwahi si unajua tar.15-09-2012 sio mbali
  :flypig:
   
 8. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #8
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  unistue kaka ukifika mwana mi niko pale ndio namalizia inshort kiko poa
   
 9. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #9
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  kiukweli kwa degree ya elimu pale ni TOP OF OTHER UNIVERSITY anaebisha aje na vithibitisho ukifika jiandae kupiga msuli
   
 10. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #10
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  ushauri mzuri la sivyo sap itakuhusu hahaha
   
 11. P

  Pilitoni JF-Expert Member

  #11
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Mnajisifu nini nyie,acheni matusi nyie,tangu lini mwenge imekuwa bora kwa education? Ni chuo cha hali ya chini kabisa,vilaza wamejaa pale, kuna jamaa mmoja ametimuliwa kwa fimbo na wanafunz hapa shuleni kisa hana uwezo wa kufundisha na ni zao la mwenge
   
 12. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #12
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  mbona povu jingi mdomoni we hata research hujui kufanya unaangalia mtu mmoja kweli wanafunzi hawatafikia malengo yao kama research ya mwalimu ndio hii haha jipange urudi tenaa
   
 13. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #13
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  baridi ipo ila si kivile then kuwa makini sana mkienda 1st year mtauziwa msosi buku jero ila bei ni buku kuwa mjanja kale sehemu ya buku then uwe makini na kuwahi kama unataka kukaa ndani na umalizane nao mapema kwenye suala la pay na kila kitu ni benki we unaenda na slipu tu... ukikosa chumba tutaftane niku direct kwa chumba cha bei poa au vipi
   
 14. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #14
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  embu nisaidie kumweleza piritton hapo nondo zinazotoka mwuce zikoje naona hajaelewa somo bado asee anajua labda ni ujiko
   
 15. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #15
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
   
 16. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #16
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  kaangalie tcu guidebook..
   
 17. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #17
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  hapo ume KU-RU-PU-KA!!!
   
 18. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #18
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  ILA kashagundua alikurupuka kwa kwa kwa
   
 19. K

  KALLAGO Member

  #19
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Oya tarh ya kufungua ni tarh ngap bhana
   
Loading...