Wale wa maoni ya waliowengi wakiwa wamelala

Wale wa maoni ya waliowengi wakiwa wamelala

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
ImageUploadedByJamiiForums1397233132.569243.jpghii ni baada ya Vincent Nyerere kuwachakaza wanaojiita wengi.
 
M/kiti kamati ya vicent ni full kilaza, mwenye cv yake atuwekee hapa. Ana uwezo mdogo sana ktk kujenga hoja
 
wakiamka tu ni ndiyoooooo na matongo tongo yao machoni. hawa ikirudi Tanganyika yetu ni kuwafukuza tu waende kwenye jiinchi lao watakaloliita tanzania bara
 
Hapo ukimkurupusha anakurupuka serikali mbili kama walivyokaririshwa
 
Back
Top Bottom