Kama ni mfuatiliaji wa mambo ya simu hii ni event ambayo hutakiwi kukosa jolla wanatoa os yao ambayo ni open source
Hawa jamaa ndo wagunduzi wa vitu vingi kwa simu kama simu isio na button, double tap to awake, lightiest os, os inayoemulate os wenzake, walifanya mambo haya wakiwa na meego.
ila bei! Sjachek live event!! But from what i heard hii itakua na uwezo wa ku install androids apps!! Pia sailfish itakuwepo kwenye pc na tablets piaaaa!! Ts good news.... I hope nokia watumie hii os!!