Wale wa kambi ya jeshi Gongolamboto

Wale wa kambi ya jeshi Gongolamboto

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,652
Reaction score
5,634
waungwana salama jamani,kuna msichana mmoja anaitwa Mwanaidi chomba alimalizaga secondary ya juhudi nilikuwa nina shida nae kweli,mwenye kumfahamu ani-pm
 
Ameshaolewa angalia usivunje ya watu.
 
Jana tumemzika kafa kwa ngoma mungu mkubwa sana kakuepusha usionane.
 
we huna akili kabisa. Ndio nini sasa kuandika jina langu humu. Naomba ufute thread hii tafadhali. Na sikutakiiiiiiiiiiiiiiii.......unaning'ang'ania nini???..kwani wanawake wengine huwaoniiiiiiii???...nimesema sitaki unifwatefwate!!!...mxiiiiiiiiiiiii.....
 
Shida kwa PM funguka hapa tatizo lako vinginevyo utamkosa atakufikiria vingine, funguka shida yako kwanza hapa ikiwa ya msingi kwa upande wake atakufuata PM
 
Back
Top Bottom