Njoo hapa Dids saa hi
Mamndenyi usijali tupo pamoja. nitakuwekea kiasivivian nimetamani sana hiyo mbuzi choma na ndizi,
nimemeza mate kama mtoto mdogo, looooh.
Weekend hii naona kama kaizari kanitunishia misuli
ni kama sitapumua fulani hivi.
Nawatakia heri wote watakaopata muda wa kupumzika,
.................. enjoy..........
Poa watu8 unikujie ba Biscuits za Eatsome more. Leo sijuisikii kunywa local beer na sina enough money za kunywa heinken.
oooh!! baby I cant wait to see you.
Kumbe ijumaa imeshafika....hio nyama hapo mhhh njaa,hizo chachandu na pilipili ndio zimefanya mdomo umejaa mate ngoja nikazifate zile mbavu za mbuzi dukani....lkn ningefurahi zaidi kama ningepata supu saa hii..
CC farkhina
oooh!! baby I cant wait to see youcc: measkron na wanawe!!!?
We hauendi kwenye mbuji!!!