Wale wa IFM tukutane hapa...

Wale wa IFM tukutane hapa...

Ndio, huwa zinapatikana ila huwa kuna usumbufu sana, ila mimi ningekushauri usipende kukaa maisha ya hostel, hayana changamoto za maisha
Tafuta chumba mtaani upange itakusaidia sana kwan pindi utakapomaliza chuo utakuwa umeshaanza take off stage ya maisha, si rahis kurud nyumbani na mizigo yako kama ulivyotoka.
Ukitaka uishi sehem nzur pia upate changamoto positive za kimaisha, usikae kigamboni.

sawa mkuu nmekuelewa..mi mwenyew sipendelei kukaa hostel...afu nmesikia weng wa wanafunzi hupanga vyumba kigamboni xo ni mahala pazuri kweli? Msaada wako mkuu
 
Shule ya ifm huwa n rahisi xana ukizingatia unayotakiwa kuyafanya bt ukizingua pale hakukufai kabixaaaa maana semister ya kwanza too unarudi kwenu tofaut kabixaaaa na vyuo vingine hapa tz!!
 
Kwanza niwapongeze xana kwa kuchaguliwa na chuo kilichopo mjini kuliko vyuo vyote tz,,ila shule ya pale xo mchezo bata km kawa ila mtiti upoooo jipangen poa
 
Kwa mimi, kigamboni huwa napaona si mahali pazuri pa kukaa mtu anaetaka kuanza maisha huku akiwa chuo sababu ya intergration kubwa na wanafunzi mara kwa mara so mnajikuta mnazunguka katika kitu kile kile tu siku zote while tym isn't.waiting for u. Ukija kutahamaki ni mwaka wa pili au wa tatu mnamaliza, urudi tena nyumbani.
Ninachoshauri mara kwa mara ni ukae mtaani pahala ambapo hapana wanafunzi ili uzipate changamoto za maisha halisi ukaze darasan, ukaze na kwenye michakato ila neno langu si sheria, u can decide on ur own ndugu
 
Hongeren kwa kuchaguliwa ifm , ila elimu ya pale ni ngumu. Ila mkikaza mnatoboa tu
 
Kwa mimi, kigamboni huwa napaona si mahali pazuri pa kukaa mtu anaetaka kuanza maisha huku akiwa chuo sababu ya intergration kubwa na wanafunzi mara kwa mara so mnajikuta mnazunguka katika kitu kile kile tu siku zote while tym isn't.waiting for u. Ukija kutahamaki ni mwaka wa pili au wa tatu mnamaliza, urudi tena nyumbani.
Ninachoshauri mara kwa mara ni ukae mtaani pahala ambapo hapana wanafunzi ili uzipate changamoto za maisha halisi ukaze darasan, ukaze na kwenye michakato ila neno langu si sheria, u can decide on ur own ndugu

yap apo umenena mkuu...nashukuru sana kwa msaada wako
 
Shule ya ifm huwa n rahisi xana ukizingatia unayotakiwa kuyafanya bt ukizingua pale hakukufai kabixaaaa maana semister ya kwanza too unarudi kwenu tofaut kabixaaaa na vyuo vingine hapa tz!!

duu! Inaonekan wako strictly sana
 
Back
Top Bottom