Wale wa IFM tukutane hapa...

Wale wa IFM tukutane hapa...

shayo complex

Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
36
Reaction score
3
Kwa wale wenjej wa chuo cha IFM watupe mawil matatu kuhusu chuo chetu kw sisi undergraduate 2015/2016
 
Unataka kujua nin kuhusu usimamizini ndugu
 
Jiandae kikamilifu, chuo kilivyo sivyo kama mnavyokuwa mkikisikia mtaani. Bata zipo za kutosha ila shule ya pale ni ngum tofaut na unavyosikia mtaani. Disco ni nje nje.
Semister zote kuna test 2, ya kwanza huanza baada ya wiki 6 after commencement of studies, ya pili huanza aft 4 weeks kama sijakosea, mara kuna tutorial sessions ambazo unatakiwa kuhudhuria, kosa lecture, usikose tutorials, utajuta.
Incomplete ni total abscond and disco
Hakuna bif za kipuuz pale kati ya lectures na students
Hesabu, uchumi na uhasibu ndiyo nguzo kuu ya kile chuo
Dresscode inazingatiwa vilivyo
Muda wa registration ukiisha, ukiwa hujaregister kwa mwaka wa kwanza huwa inaleta tabu kubwa, yaweza kukupelekea kupostpone mwaka
Shule ni ngumu!
 
yah wameshatoa kwenye website yao..wamen2mia mexag kuw nme b'selected

Halaf ujifunze sasa bwana mdogo, unaingia chuo kikuu, kama huwez kutumia herufi sahihi pahala sahihi ni bora ukae kimya kwan ukitumia hivyo sitokujibu tena. Zingatia
 
sawa mkuu nmekuelewa nashukuru sana
 
Halaf ujifunze sasa bwana mdogo, unaingia chuo kikuu, kama huwez kutumia herufi sahihi pahala sahihi ni bora ukae kimya kwan ukitumia hivyo sitokujibu tena. Zingatia

samahani sana mkubwa...afu naomba kufahamu hostel kwa mwaka wa kwanza zinapatikana??
 
Ndio, huwa zinapatikana ila huwa kuna usumbufu sana, ila mimi ningekushauri usipende kukaa maisha ya hostel, hayana changamoto za maisha
Tafuta chumba mtaani upange itakusaidia sana kwan pindi utakapomaliza chuo utakuwa umeshaanza take off stage ya maisha, si rahis kurud nyumbani na mizigo yako kama ulivyotoka.
Ukitaka uishi sehem nzur pia upate changamoto positive za kimaisha, usikae kigamboni.
 
Kwnn unaxema 2ckae kigambon mkuu?
 
Kwnn unaxema 2ckae kigambon mkuu?

Ndugu huwa sijibu texts zinazotumia "x" instead of its respective herufi. Pole, pengine andika upya ntakujibu.
Ndugu zangu ifikie pahala tujifinze kuwa Consistent na siyo kuish kwa mazoea.
 
Ndugu huwa sijibu texts zinazotumia "x" Ainstead of its respective herufi. Pole, pengine andika upya ntakujibu.
Ndugu zangu ifikie pahala tujifinze kuwa Consistent na siyo kuish kwa mazoea.

Acha uboya ww kwn hujaelewa
 
IFM ndo kitu gani mbona siijui?
mna discuss vitu ambavyo wengine tunavisikia leo.
 
watu wanajikuta wanajua sana huku jf.....usitake m2 aishi ka unavyotaka ww kisa tu kuna kitu anademand 4rm yah
 
Back
Top Bottom