Achana nayo mkuu jf inatosha
mnaponda fb kisa mpo jf wakati mkiwa kwenye kaforum flani hiv mnaponaponda jf so siwashangai wanafki mnaiponda FB na kuipa kichwa JF wakati zote ni social netwrks na kila moja ina mazuri yake na mabaya yake ....aaargggh mnaboa JF+FB 4rever au hadi msikie Mark Zuckerberg kainunua JF nini?(lol natania)

ni mchezo wa bahati nasibuFacebook ndo nini?