Kundi la muziki la Wapancras linalojumuisha wasanii ndugu, Mecrass na Payus, la Jijini Mwanza, limeachia wimbo mpya uitwao "Nitunzie Siri", wakimshirikisha Abuu Mkali.
Wimbo umetengenezwa pande za Vibe Nation & Quick Sound ikiwa ni mikono ya Producers, Aniwylee na Day Dream. Itafute BINAGI BLOG_BMG hiyo ngoma uisikie utamu wake