Wale vijana wawili

kwa hiyo unataka kusema mkwere hakukosea alivyolikata lile jina kule dom eti?
 
Lowassa dhuluma ndio kipaji chake kaanza zamani sana. Lowassa ndio good reflection ya CCM uroho, ulafi, kujilimbikizia mali na kutokuwa na huruma wala roho ya utu

Lowassa ni mfano wa kuigwa.

Huyu mtu anacheza sana na wakati alivyoingia tu madarakan alianza kutumia fursa vizuri.

Yaan kila kilichokuwa kinapita mbele yake alikiona kina thaman sana miaka ya mbele

Tofauti na wengine ambao wanawake ndo ulikuwa ujira wao na wamekuja kutuibia kwa pupa baada ya kuona wanaondoka madarakani.

Lowassa ni mfano wa kuigwa kwa vijana
 
Huyu kijana ni nani?


Kama mnavyojua kuwa pesa za namna hii haziingizwi bank, basi wawakilishi wa kampuni ya Toyota walikuja na pesa kwenye briefcase wakimtamfuta waziri mkuu, bahati mbaya au nzuri waziri mkuu alikuwa safarini, lakini walipouliza, msaidizi wa waziri mkuu aliwakaribisha ofisini kwake, kijana mtanashati na mwenye sura ya kuvutia


Huenda ni wewe maana mnafanana na hiyo sifa hapo juu
 
Moja jumlisha moja unapata mbili.... kama ambavyo Zanzibar na Tanganyika zilivyotoa serikali mbili.

Sasa natafuta mbili jumlisha moja ili nimjue kijana msaidizi wa spika...
Aliwahi kuwa rais wa JMT.
 
Sitaisahau ile mvua ya Thailand
 
Kumbe ndivyo alivyopata utajiri kilaini ivyo bila hata kutoa jasho
kweli bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi
 

Na mbaya zaidi hela za namna hii hazina lisiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…