Kama mada inavyosema wadau wale tuliosoma a.t.c tukutane hapa,tukumbushie za nyuma kidogo maana huu Uzi in special kwa wale wote waliopitia hapo karibuni sana wadau wote wa civil eng.,electrical eng.,mechanical eng, transportation etc kwa kuchangia mawazo