Well said mate. Most students tend to cram without really understanding the concept behind. Moreover, they lack the proper imagination required to solve some problems. In my opinion, Physics is neither simple nor tough, it clearly depends on how one takes it.Physics is simple and it will always be simple ONLY for problem solver who loves it and understands the concept clearly not otherwise.Most people who had high performance in physics were really solving the problems,but few can score high marks with less effort as their luck but this rarely happens.
College engineering ulipitia pitia?...mawe matupu...shule ya PGM Ilikuwa imemeza viagra!mzee nilikua naipenda physics mpaka watu wakanita Mudyton walijua nina undugu na Newton. Yaani kuna maswali magumu ya physics kwenye kitabu cha university physics (UP) watu walikua wanayawekea vidoti, mimi ndio nilikua naviondoa hivyo vidoti. wakanipa jina mzee wa kuondoa vidoti. Yaani nikikumbuka physics ya advance ilikua raha sana. matopic kama heat, wave, static na current electricity, electronics. full mzuka.
TOM DUNCAN...ROGER MANCASTER...COLLEGE ENGINEERING..Nelkon,ROGERS (TSH 90000) Enzi zile,sijui ckuhz wanauzaje
Future ipo..tena sio kitoto..sema shubiri na mbilinge linaazia form 5 had mwaka wa nne..nenda COET uliza nini maana ya buzy body utaambiwa...fikiri..chukua hatua!Nataka niingie hukoo naombeni ushauri