Charles Makunga
Member
- Oct 4, 2015
- 25
- 10
kupata updates za chuo na maelezo mengine meeengi, karibuni sana UDOM hop hamtajuta kuchagua UDOM
kuna vilivyopo brother, acha kuwakatisha tamaa wenzioKwani Udom Kuna nini mpaka wasijute acha kuwadanganya wenzio
achana na UDSM mkuu,we taja sifa zenu tu basi sio lazma ulinganishe na chuo kingne,utawachukiza watu ase chunga.Mimi nipo UDOM hadi dakika hii,karibuni sana CIVE.Huku hakuna kubebana kama UDSM . Tukutane UJASI
Kimekua kwa kasi ya ajabu, kinakaribia kua chuo cha taifa.Hicho chuo cha kata kimefanyaje tena
Usipo soma sup zitakuhusu tu tena sana kwa education sup ni jambo la kawaida tu kama utakuwa mzembeVipi sap kwa course za education (science)
Hivi hawa wajasi bado wapo tu kule bondeni?Mimi nipo UDOM hadi dakika hii,karibuni sana CIVE.Huku hakuna kubebana kama UDSM . Tukutane UJASI
Wew unaesema chuo cha kata unasoma chuo gan ambacho sio cha kata Tanzania hii!!!Hicho chuo cha kata kimefanyaje tena
Wajasi wameongezeka kule bondeni.Hivi hawa wajasi bado wapo tu kule bondeni?
Mama nyangeta
Mama miwani
Mtumishi
Kwa mrangi
Na vp block 1,2 na 3 zimeacha kuvuja?
Mpe Hi naledi, mwambie aongeze ngano kwenye mchuzi
Machiz utawajua tuuHicho chuo cha kata kimefanyaje tena
Unaogopa sapu mapema hivyo??Vipi sap kwa course za education (science)