mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,967
Bouy ni mchanganyiko ila hapo kuna CDO ( katika ubora wao aka komando)Salaaam Sana. Ama baada ya Salam
Naomba kufahamishwa Jambo hili kwa anayefahamu.
Katika mikutano /ziara / hotuba za RAISI wetu wa Jamhuri ya muungano Kuna walinzi weengi ambao humzunguuka. Ila ambao ninataka kuwafahamu zaidi Ni hawa.
1. Mwanajeshi aliyemsimamia nyuma (nawewe umekaa Sana nyuma yangu unachangia ngapi?)
2. Mlinzi anayevaa kiraia (suti) anakaa upande wake wa kulia.
3. Wanajeshi ambao wanakuwa wamesimama na bunduki fupi fupi, Wana kombat za rangi Kama za nchi za mbali hivi ( TOFAUTI na zile za JWTZ)
Je? Ni kweli Hawa watu Ni MAKOMANDO?
Nilimuuliza mtu mmoja akasema kuwa Ni makomando Tena hatari Sana.
Je nikweli au nimedanganywa?
Kwa mwenye kujua tafadhali
Ha ha haKwanini siku moja usijaribu kutishia kama unataka kuwakimbilia ili ujidhihirishie kama ni ndio au sio!
Kwanini siku moja usijaribu kutishia kama unataka kuwakimbilia ili ujidhihirishie kama ni ndio au sio!
Wale wote ni wachimba chumvi tu
[emoji1]Wale ni wabeba mawese tu
Salaaam Sana. Ama baada ya Salam
Naomba kufahamishwa Jambo hili kwa anayefahamu.
Katika mikutano /ziara / hotuba za RAISI wetu wa Jamhuri ya muungano Kuna walinzi weengi ambao humzunguuka. Ila ambao ninataka kuwafahamu zaidi Ni hawa.
1. Mwanajeshi aliyemsimamia nyuma (nawewe umekaa Sana nyuma yangu unachangia ngapi?)
2. Mlinzi anayevaa kiraia (suti) anakaa upande wake wa kulia.
3. Wanajeshi ambao wanakuwa wamesimama na bunduki fupi fupi, Wana kombat za rangi Kama za nchi za mbali hivi ( TOFAUTI na zile za JWTZ)
Je? Ni kweli Hawa watu Ni MAKOMANDO?
Nilimuuliza mtu mmoja akasema kuwa Ni makomando Tena hatari Sana.
Je nikweli au nimedanganywa?
Kwa mwenye kujua tafadhali
ha ha ha mkuu njoo tukupige risasi...isipopita ujue tayari umefudhu.Nikiwa mkubwa na mm nataka niwe komandoo etiii babaeee??????
π π πKwanini siku moja usijaribu kutishia kama unataka kuwakimbilia ili ujidhihirishie kama ni ndio au sio!
Mimi nataka kujua kati ya mwenye suti na mwenye kombati nani anacheo kikubwa?
MMU NA MAMBO YA SIASAUpo jukwaa sahihi kabisa
Pongezi ziende kwa serekali ya awamu ya tano